Uchumi
Benki ya NMB Yazindua Akaunti ya Kikundi
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza ...Zanzibar kutenga Bilioni 34 kwa ajili ya posho za nauli kwa wafanyakazi.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetenga shilingi Bilioni 34 kwa ajili ya posho ya nauli kwa wafanyakazi ambapo kila mtumishi atapewa shilingi ...Serikali imesema inafanyia kazi suala la kikokotoo kwa waastaafu
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali imepokea hoja kuhusu kubadili kikokotoo kwa wastaafu, hivyo inafanya uchambuzi zaidi kuhusu hoja hiyo ...Tanzania yapokea mkopo wa bilioni 517 za uboreshaji reli ya kati
Tanzania imepata mkopo wa dola za Marekani milioni 200 (takriban bilioni 517) kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Benki ya Dunia ...Mwanamke akamatwa kwa kupeleka maiti benki ili asaini mkopo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Érika de Souza Vieira Nunes wa nchini Brazil amekamatwa baada ya kupeleka maiti benki, akitumaini kwamba ...