Uchumi
Ufanisi wa Bandari ya Mtwara waongezeka zaidi ya mara mbili
Katika juhudi za kuboresha huduma za Bandari ya Mtwara, mitambo mpya inayojulikana kama harbour crane ya kupakia na kushusha shehena kwenye meli, ...Tanzania na Rwanda kuboresha ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam
Tanzania na Rwanda kwa pamoja zimeafikiana kuweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia kuongeza ufanisi wa matumizi ya Bandari ya Dar es Salaam kama ...Ruto ataka nchi za Afrika Mashariki zipewa miaka 50 kulipa madeni
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ipo haja ya kurekebisha sera zilizopo za ulipaji wa madeni ambazo amedai zinazorotesha mataifa ya Afrika ...Wafanyabiashara wa mafuta Kenya hali tete baada ya Uganda kuichagua Bandari ya Tanga
Wafanyabiashara wa mafuta nchini Kenya wako katika hali mbaya baada ya Uganda kusisitiza msimamo wake wa kuanza mazungumzo na Tanzania ili kuagiza ...Dkt. Mpango: Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema hivi karibuni Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili aina ya Boeing 737 9 max na ...Serikali yatangaza kuwasajili madalali wa mazao
Serikali imesema imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa ajili kudhibiti wafanyabiashara wanaoenda kinyume na bei elekezi ikiwa ni pamoja na kuendesha operesheni ya ...