Uchumi
Noti zenye saini ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuingizwa kwenye mzunguko kuanzia Februari
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ...Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...Benki ya Dunia yaahidi kutoa zaidi ya bilioni 700 kusaidia Awamu ya tatu ya TASAF
Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 300 [TZS bilioni 786.3] kwa ajili ya kusaidia Awamu ya ...Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu ya Uganda na kuiba mabilioni ya pesa
Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini ...IMF yaionya Kenya kuhusu kupokea mkopo mpya kutoka UAE
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeonya kuhusu mpango wa Kenya kukopa mkopo wa dola za Marekani bilioni 1.5 [takriban TZS trilioni ...BoT yataja orodha ya ‘Application’ za mikopo zisizokuwa na kibali
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema imebaini kuwepo kwa majukwaa na programu tumizi ‘Applications’ zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila kuwa ...