Uchumi
Watanzania wengi huchukua hadi miaka 18 kumaliza kujenga nyumba
Ripoti ya utafiti kuhusu mahitaji ya soko la nyumba za kima cha chini Tanzania imeonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ...Kenya yapokea uwekezaji wa zaidi ya TZS bilioni 600 kutoka Dubai
Kenya imepokea uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni (FDI) kutoka Dubai wenye thamani ya dola milioni 253 [TZS bilioni 631.9] kwa ...Uwanja wa KIA warudishwa serikalini baada ya miaka 25
Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ...Serikali yaweka ukomo wa bei kwa bidhaa inazonunua
Serikali imeeleza kuwa imeweka ukomo wa bei za bidhaa ambazo Serikali inanunua kwa kuzingatia bei za soko ili kudhibiti ununuzi wa bidhaa ...Uganda kupitisha mafuta Bandari ya Dar es Salaam baada ya kushindwana na Kenya
Serikali ya Uganda na kampuni ya Vitol Bahrain E.C. yenye makazi yake Bahrain, wamechagua bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya ...Rwanda yaondoa sharti la visa kwa Waafrika wote
Rwanda imetangaza kuruhusu wananchi kutoka nchi za Afrika kusafiri na kuingia nchini humo bila visa lengo likiwa kuruhusu harakati za watu na ...