Uchumi
Nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa zaidi IMF
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limechapisha orodha ya nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa zaidi, huku Tanzania ikiwa haijatajwa kwenye orodha ...Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 100 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ...Malawi yapiga marufuku uagizaji mahindi toka Kenya na Tanzania
Malawi imezuia uagizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kwa sababu ya wasiwasi wa kuenea kwa ugonjwa hatari wa Mahindi, Lethal Necrosis ...BoT yaonya wanaotumia pesa kutengenezea maua
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya ...