Uchumi
Tanzania ya Pili Afrika kwa ongezeko la Watalii
Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika na ya 10 duniani kwa idadi ya watalii wanaoingia nchini, huku idadi ya watalii wakiongezeka kwa ...AfDB yatoa trilioni 1.7 kujenga SGR Tanzania-Burundi
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeidhinisha dola milioni 696.41 ( TZS trilioni 1.74) za kufadhili Tanzania na Burundi kujenga reli ya ...Hati Fungani ya NMB Jamii Yaandika Historia kwa Kukusanya Tsh Bilioni 400
Historia imeandikwa katika Masoko ya Mitaji Afrika Mashariki, baada ya Hati Fungani ya NMB Jamii kukusanya Tsh Bilioni 400, ikiwa ni zaidi ...Kenya kuondoa visa 2024 kwa nchi zote duniani
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nchi yake itaondoa mahitaji ya visa kwa wageni wote duniani kuanzia Januari 2024 ili kufungua ...Nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa zaidi IMF
Nchi nyingi zinakabiliwa na changamoto za kiuchumi ambazo mara nyingine husababisha kutafuta msaada kutoka kwa taasisi kama Shirika la Fedha Duniani (IMF), ...Mkenya aajiriwa kwenye nafasi za juu za mashirika 8 ya umma
Kaimu Katibu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Baraza la Elimu ya Kisheria (CLE), Jennifer Gitiri, anakabiliwa na tuhuma za kushikilia nafasi kadhaa ...