Uchumi
Kipato cha kila mkazi wa Dar chaongezeka kwa laki 5
Takwimu zilizotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaonesha ongezeko la asilimia 5 katika wastani wa kipato cha Mtanzania kwa mwaka ambao ...Nchi 10 za Afrika zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi 2023
Ukuaji wa uchumi ni mchakato unaotokea katika uchumi wa nchi au eneo ambapo uzalishaji wa bidhaa na huduma unakuwa kwa kasi na ...Tanzania na India kuongeza matumizi ya fedha za ndani katika biashara
Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi wamekubaliana kuongeza matumizi ya fedha za nchi badala ya fedha za ...TRA yakusanya trilioni 6.7 robo ya kwanza ya mwaka 2023/24
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/24 (Julai hadi Septemba) imekusanya shilingi ...Maonesho ya Mboga na Matunda Qatar kuwajengea uwezo wakulima wa Tanzania
Serikali ya Tanzania kupitia taasisi zake mbalimbali na sekta binafsi itashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture ...UBIA WA TWIGA WAONESHA ATHARI CHANYA ZA KIMAGEUZI ZA UCHIMBAJI MADINI, YASEMA BARRICK
Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, Tanzania, Septemba 29, 2023 – Kampuni ya Dhahabu ya Barrick (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) na serikali ya Tanzania ...