Uchumi
Tanzania kuuza sukari nje ya nchi miaka miwili ijayo
Serikali imesema Tanzania inatazamiwa kuanza kuuza sukari nje ya nchi ndani ya miaka miwili ijayo kutokana na jitihada mbalimbali za uzalishaji zinazofanywa ...DIB yasema ina fidia za bilioni 2.9 ambazo wahusika hawajazidai
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imesema jumla ya fidia ya shilingi bilioni 2.9 hazijachukuliwa na wadai mbalimbali wa benki zilizofilisika nchini ...Dkt. Mpango: Sekta binafsi ni muhimu katika kuchochea maendeleo
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema ushiriki wa sekta binafsi ni muhimu katika kukabiliana na upungufu wa fedha za maendeleo ili ...Madereva Kenya wakimbilia Tanzania kununua mafuta
Madereva kutoka nchini Kenya wanalazimika kukimbilia nchini Tanzania kununua mafuta ya petroli na dizeli kutokana na unafuu uliopo nchini ukilinganishwa na bei ...Zanzibar yakabidhi uendeshaji wa bandari kwa mwekezaji
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekabidhi shughuli za uendeshaji wa Bandari ya Malindi kwa kampuni ya Kifaransa ya AGL kwa lengo la ...Nigeria: Gharama za maisha zapelekea wananchi kutumia magari yao kufanyia biashara
Kutokana na kuendelea kudorora kwa uchumi wa Nigeria, wananchi nchini humo wameendelea kubuni njia zitakazorahisisha upatikanaji wa pesa kwa kugeuza magari yao ...