Uchumi
Uwanja wa KIA warudishwa serikalini baada ya miaka 25
Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ...Serikali yaweka ukomo wa bei kwa bidhaa inazonunua
Serikali imeeleza kuwa imeweka ukomo wa bei za bidhaa ambazo Serikali inanunua kwa kuzingatia bei za soko ili kudhibiti ununuzi wa bidhaa ...Uganda kupitisha mafuta Bandari ya Dar es Salaam baada ya kushindwana na Kenya
Serikali ya Uganda na kampuni ya Vitol Bahrain E.C. yenye makazi yake Bahrain, wamechagua bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya ...Rwanda yaondoa sharti la visa kwa Waafrika wote
Rwanda imetangaza kuruhusu wananchi kutoka nchi za Afrika kusafiri na kuingia nchini humo bila visa lengo likiwa kuruhusu harakati za watu na ...Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili nchini
Shirika la Reli Tanzania (TRC) imesema kichwa kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-1 kilichoundwa na kampuni ya Hyundai ...Benki Kuu: Pato la Tanzania limekua kwa kiwango cha kuridhisha
Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) ya Benki Kuu imebaini kuwa Pato la Taifa kwa Tanzania Bara limekua kwa kiwango cha kuridhisha ...