Uchumi
Tanzania na India kuongeza matumizi ya fedha za ndani katika biashara
Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi wamekubaliana kuongeza matumizi ya fedha za nchi badala ya fedha za ...TRA yakusanya trilioni 6.7 robo ya kwanza ya mwaka 2023/24
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/24 (Julai hadi Septemba) imekusanya shilingi ...Maonesho ya Mboga na Matunda Qatar kuwajengea uwezo wakulima wa Tanzania
Serikali ya Tanzania kupitia taasisi zake mbalimbali na sekta binafsi itashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture ...UBIA WA TWIGA WAONESHA ATHARI CHANYA ZA KIMAGEUZI ZA UCHIMBAJI MADINI, YASEMA BARRICK
Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, Tanzania, Septemba 29, 2023 – Kampuni ya Dhahabu ya Barrick (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) na serikali ya Tanzania ...Tanzania kuuza sukari nje ya nchi miaka miwili ijayo
Serikali imesema Tanzania inatazamiwa kuanza kuuza sukari nje ya nchi ndani ya miaka miwili ijayo kutokana na jitihada mbalimbali za uzalishaji zinazofanywa ...DIB yasema ina fidia za bilioni 2.9 ambazo wahusika hawajazidai
Bodi ya Bima ya Amana (DIB) imesema jumla ya fidia ya shilingi bilioni 2.9 hazijachukuliwa na wadai mbalimbali wa benki zilizofilisika nchini ...