Uchumi
Afrika Kusini kubinafsisha shughuli za bandari kwa kampuni ya Ufilipino
Afrika Kusini inakusudia kubinafsisha shughuli za bandari katika mpango wa muda mrefu ili kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi kutokana na bandari hizo ...UAE yaingia makubaliano na DR Congo katika uchimbaji wa madini
Ujumbe wa maafisa wa Umoja wa Falme za Kiarabu umesaini mkataba wa ushirikiano wenye thamani ya dola bilioni 1.9 [TZS trilioni 4.6] ...Ndege za ATCL hatarini kukamatwa
Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 [TZS bilioni 266] kwa kampuni za ...India na UAE zaingia makubaliano ya kutumia fedha ya India katika biashara
India na Umoja wa Falme za Kiarabu wameingia makubaliano ambayo yanaruhusu biashara kati ya nchi hizo mbili kufanyika kwa kutumia sarafu ya ...EWURA: Nchi ina mafuta ya kutosha, yawaonya wanaoficha
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeutaarifu umma kuwa nchi ina mafuta ya kutosha katika maghala ya kuhifadhia ...Rais Samia: Nchi za jirani zinatamani fursa tuliyoipata
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amesisitiza kuwa wakati Tanzania inaendelea kujadili makubaliano ya bandari na kampuni kubwa ya Dubai, bandari pinzani katika ...