Uchumi
Kesi ya Mange Kimambi yaahiridhwa hadi Januari, 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa Tanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi hadi Januri 28 2026. ...Mange Kimambi ashtakiwa kwa kutakatisha fedha, adai Serikali inapanga kumrejesha nchini
Mwanaharakati Mange Kimambi anayeishi nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi nchini Tanzania, akidaiwa kutakatisha TZS milioni 138.5. Kwa mujibu wa hati ...Waziri Ulega: Vijana wasifukuzwe kazi hovyo kwenye miradi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi nchini kuacha tabia ya kuwafukuza kazi kiholela vijana walio ...Rais aelekeza gharama za sherehe ya Uhuru zikarabati miundombinu
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuwa mwaka huu hakutakuwa na sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru (Desemba 9), badala yake fedha ...Benki Kuu yakanusha kuchapisha fedha kwa ajili ya uchaguzi
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa inachapisha na kusambaza fedha kwa ajili ya uchaguzi ...








