Uchumi
BoT: Unaporudishiwa fedha chakavu usikatae
Kufuatia kuwepo kwa mivutano katika huduma mbalimbali za umma pindi mwananchi anaporudishiwa pesa iliyo chakavu, Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeshauri wananchi ...Mambo ya kufahamu kuhusu mkutano wa G20 unaofanyika nchini India
Kikundi cha G20, au Kundi la Mataifa 20, kinajumuisha nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani na kinatambulika kama jukwaa muhimu kwa majadiliano ...Dkt. Mpango: Amani na usalama ni nguzo muhimu kwa mifumo ya chakula
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu mataifa ya Afrika na dunia kwa ujumla kutumia njia za usuluhishi wa amani ...ACT Wazalendo yaunga mkono uwekezaji wa DP World, yatoa mapendekezo
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kinaunga mkono uwekezaji kwenye bandari za Tanzania ili kuziwezesha kufanya kazi kwa ufanisi na kuwa na tija ...Serikali yaweka wazi vigezo inavyozingatia kumpokea mwekezaji
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kutokana na Tanzania kuwa na fursa mbalimbali za uwekezaji serikali inazingatia vigezo maalum ...IMF: Afrika lazima ifanye mambo haya matatu kujikwamua kiuchumi
Mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia uliopangwa kufanyika huko Marrakech, Morocco Oktoba mwaka ...