Uchumi
Ifahamu DP World kampuni inayotaka kusimamia Bandari ya Dar
DP World ni kampuni ya kimataifa ya usafirishaji iliyoko Dubai, Falme za Kiarabu, iliyojikita na usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandarini na ...Namibia yapiga marufuku usafirishaji nje wa madini ambayo hayajachakatwa
Serikali ya Namibia imetangaza kupiga marufuku usafirishaji wa madini ya lithiamu ambayo hayajachakatwa na madini mengine muhimu. Nchi hiyo ya Kusini mwa ...Rais Samia aahidi kufanyia kazi ununuzi wa ndege nyingine ya mizigo
Rais Samia Suluhu ameahidi kufanyia kazi ombi lililotolewa na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuongeza ndege moja kubwa ya mizigo ikiwa ni ...Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...Uingereza kuipa Tanzania msaada TZS bilioni 15
Tanzania imepokea msaada wa pauni milioni 5 sawa na takribani shilingi bilioni 15 kutoka Serikali ya Ungereza kwa ajili ya awamu ya ...Gharama ya samaki nchini Kenya kupanda kwa asilimia 50
Gharama ya kununua samaki inatarajiwa kupanda kwa asilimia 50 nchini Kenya iwapo Bunge litaidhinisha pendekezo la kuanzisha ushuru wa KSh 100,000 [TZS ...