Uchumi
Mradi wa umeme wa Kigagati-Murongo kufungua zaidi uchumi wa Kagera
Rais Samia Suluhu Hassan amesema umeme unaozalishwa katika mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo, unaotekelezwa katika bonde la Mto Kagera ...Ghana yakopa trilioni 7 kutoka IMF ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi
Ghana ambayo ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa dhahabu na kakao duniani, inakabiliwa na mdororo mkubwa wa kiuchumi, huku bei ya bidhaa ...Waziri Mkuu: Rais Samia ana lengo la kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ina lengo la kuwawezesha na kuwasimamia ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...Ruto: Ahadi ya kupunguza bei ya gesi haitafanikiwa
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mpango wa kushuka kwa bei ya mitungi ya gesi hadi kati ya Ksh.300 (TZS 5,150) na ...TPA yakanusha madai ya urasimu Bandari ya Dar es Salaam
Kufuatia taarifa na malalamiko yanayotolewa na baadhi ya wafanyabiashara wakidai kuwepo kwa urasimu bandarini, hususani katika Bandari ya Dar es Salaam, Mamlaka ...