Uchumi
Rais Samia: Mradi wa huduma za mawasiliano vijijini utasaidia kukuza pato la taifa
Rais Samia Suluhu amesema kukamilika kwa mradi wa kufikisha huduma za mawasiliano ya simu vijijini kutasaidia kukuza pato la taifa kutokana na ...Waziri Bashe: Rais Samia ameipaisha Sekta ya Kilimo kimataifa
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni dhahiri kuwa chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu ...Stika za TRA kwenye vinywaji: Wabunge walalamikia kampuni ya SICPA
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’ ameihoji Serikali juu ya kuendelea kuwepo kwa kampuni inayoendesha mradi wa Stempu za Kodi ...China yapunguza mikopo kwa Kenya
Mikopo ya China kwa bajeti ya Serikali ya Kenya itakuwa ndogo zaidi katika kipindi cha miaka 16 huku Beijing ikichukua tahadhari zaidi ...Rais Samia: Wafanyakazi wana mchango mkubwa kukua kwa uchumi wa Tanzania
Kufuatia pongezi zilizotolewa na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuipongeza Tanzania kwa kukua kwa uchumi pamoja na mipango ...TCC Plc. registers record-breaking performance, double digits profits
Dar es Salaam, April 26, 2023: Tanzania Cigarette Public Limited Company (TCC Plc) registered a record-breaking performance in terms of sales volumes ...