Uchumi
Mapendekezo matatu ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, kuhusu muundo wa kampuni ya uendeshaji ...
Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo kwa serikali kuhusu suala la mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai juu ...Nyama ya Tanzania kuanza kuuzwa nchini Misri
Nyama ya Tanzania inatarajia kuanza kuuzwa nchini Misri kabla ya sikukuu ya Eid al Hajj ambapo takribani tani 100 zinatarajia kusafirishwa ili ...Tanzania yakusanya bilioni 70 kwa ndege zinazotumia anga lake
Tanzania imekusanya zaidi ya TZS bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2022/23 (hadi sasa) ikiwa ni mapato yanayotokana na ndege zinazotumia anga ...Faida 14 Tanzania inazotarajia kupata ikiingia mkataba wa uendelezaji wa bandari na DP World
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza faida ambazo Tanzania itanufaika baada ya bunge kupitisha azimio la mkataba baina ya Serikali ...Ifahamu DP World kampuni inayotaka kusimamia Bandari ya Dar
DP World ni kampuni ya kimataifa ya usafirishaji iliyoko Dubai, Falme za Kiarabu, iliyojikita na usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandarini na ...Namibia yapiga marufuku usafirishaji nje wa madini ambayo hayajachakatwa
Serikali ya Namibia imetangaza kupiga marufuku usafirishaji wa madini ya lithiamu ambayo hayajachakatwa na madini mengine muhimu. Nchi hiyo ya Kusini mwa ...