Uchumi
Tanzania yashika nafasi ya 10 Afrika kwa mamilionea wengi wa dola
Tanzania imeshuka katika idadi ya mamilionea wa dola hadi nafasi ya 10 kutoka nafasi ya saba mwaka 2022, kulingana na ripoti ya ...Kenya: Serikali yapandisha bei ya umeme kwa hadi asilimia 63
Bei ya umeme nchini Kenya inatarajiwa kuongezeka kwa hadi asilimia 63 baada ya mdhibiti wa sekta ya nishati kuidhinisha ushuru wenye gharama ...Kenya: Mawaziri kubinafsisha Mashirika ya Umma bila idhini ya Bunge
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao utabatilisha sheria ya ubinafsishaji ya mwaka 2005 unaotoa mamlaka kwa hazina ...Thamani ya uwekezaji nchini yakua kufikia TZS trilioni 19
Takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimeonesha thamani ya uwekezaji uliofanyika nchini katika kipindi cha miaka miwili imeongezeka kwa asilimia 173. ...Kamati ya Bunge yashauri Barabara ya Kimara-Kibaha iwekewe tozo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo ...Nchi 9 za Afrika zilizotembelewa na watalii wengi zaidi mwaka 2022
Afrika ni bara zuri na lenye historia za asili na za kusisimua, ambapo mamilioni ya wageni hutembelea kila mwaka. Bara hili limejaa ...