Uchumi
Mfumuko wa bei washuka Februari 2023
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 4.9 kwa mwaka ulioishia Januari, 2023 hadi ...Eric Omondi akamatwa katika maandamano kupinga kupanda gharama za maisha
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amekamatwa na polisi baada ya kujaribu kuvamia Bunge nchini humo kupinga kupanda wa gharama za maisha. ...Ufafanuzi wa TEMESA kuhusu gharama za matengenezo ya MV Magogoni
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imesema gharama za sasa za ujenzi wa kivuko kipya cha MV. Magogoni zinaweza kuwa zaidi ...Rais Ramaphosa atangaza tatizo la umeme kuwa janga la kitaifa
Kutokana na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme linaloikumba Afrika Kusini, Rais Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa tatizo hilo ni janga la kitaifa ...Mdororo Ethiopia, reli iliyojengwa na China ikihitaji maboresho ya bilioni 141
Mtandao wa usafirishaji wa reli ya umeme uliojengwa na China katika mji mkuu wa Ethiopia uko mbioni kuporomoka, kutokana na treni zake ...Watumishi wasiokwenda likizo wanaiibia Serikali
Ofisa Utumishi wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Fortunatus Mabula amewaonya watumishi kuacha tabia ya kutokwenda likizo kwani kwa kufanya hivyo ni ...