Uchumi
Mwigizaji Idris Elba kufungua studio ya filamu nchini
Mwigizaji maarufu wa filamu duniani kutoka Uingereza ambaye ni Balozi Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (IFAD), Idris Elba ameonesha nia ya kuwekeza ...Mamlaka ya Mapato Kenya kufuatilia miamala ya simu ili kuongeza mapato
Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) imesema imeazimia kuanza kufuatilia miamala ya simu kwa kuunganisha mfumo wa ushuru na mitandao ya simu kwa ...Misri yawataka raia wake kula miguu ya kuku kutokana na mfumuko wa bei
Taasisi ya Kitaifa ya Lishe nchini Misri imetoa wito kwa watu kula miguu ya kuku badala ya nyama kutokana na gharama ya ...TCAA matatani sakata la mgogoro wa uwanja wa ndege Zanzibar
Mwekezaji wa Kampuni ya Transworld Aviation FZE, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu amefungua maombi mahakamani ya kuomba ridhaa ya kuishtaki Mamlaka ...Majaribio ya SGR Dar – Morogoro kuanza Februari
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema linatarajia kuanza majaribio ya kutoa huduma katika Reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam ...TRA: Tozo ya kitanda nyumba za kulala wageni sio utaratibu mpya
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo amesema utaratibu wa ukusanyaji wa kodi ...