Uchumi
Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya mamilionea wa dola 2025
Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na ...TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...China, Tanzania na Zambia zasaini makubaliano ya trilioni 3.4 kuboresha TAZARA
Tanzania, Zambia na China zimetiliana saini mkataba wa Dola Bilioni 1.4 [TZS trilioni 3.4] kwa ajili ya kufufua Reli ya Tanzania- Zambia ...Dkt. Samia aahidi kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kuifanya Mkoa wa Kigoma kuwa Kitovu cha biashara ...Chumi: Fedha za Tabianchi kwa Afrika si hisani, ni wajibu wa kimataifa
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi amesisitiza kuwa si sawa kwa Afrika kushurutisha nchi zilizoendelea ...Mfuko wa Self Microfinance kukopesha mikopo ya bilioni 300 kwa wanufaika 200,000
Mfuko wa Mikopo (Self Microfinance Fund) umesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo (2026 hadi 2030) mfuko umejipanga kutoa mikopo ya shilingi ...








