Uchumi
Kenya: Mahakama Kuu yasitisha tozo za miamala kati ya benki na simu
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru Safaricom pamoja na benki kuu kusitisha tozo kwa miamala inayofanywa kati ya benki na M-Pesa mpaka pale ...Vodacom waiomba Serikali iangalie suala la tozo bajeti ijayo
Kampuni ya Vodacom imeiomba Serikali kuangalia upya suala la tozo katika bajeti inayokuja ili kuwasogeza zaidi watumiaji katika mfumo wa kidijitali utakaosaidia ...Waziri Bashe: Tanzania haiko tayari kutumia mbegu za GMO
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa sasa Tanzania haipo tayari kutumia mbegu zilizobadilishwa vinasaba (GMO) pasipo kujua undani wake, badala yake ...Taarifa ya TCRA kuhusu vocha za simu ‘kupandishwa’ bei
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Bakari amesema hakuna vocha zilizopanda bei, na kama zipo ni utapeli ambao ...Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kwa asilimia 21
Mauzo ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai 15 hadi Desemba 15 mwaka jana yameongezeka na kufikia tani 5,158 sawa ...LATRA: Hakuna mwananchi atakayeshindwa kulipa ongezeko la nauli
Baraza la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limesema kuna sababu mbalimbali za kuongezeka kwa nauli zikiwemo uendeshaji wa usafiri ...