Uchumi
LATRA yatangaza bei mpya ya nauli
Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza ongezeko la nauli za mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam zitakazoanza kutumika siku ...IMF: Mwaka 2023 utakuwa mwaka mgumu zaidi
Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva amesema kwamba mwaka huu 2023 theluthi moja ya dunia itaathiriwa na mdororo ...Ajiua kwa kunywa sumu akihofia kudaiwa TZS 47,000 za soda
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Bukindu Mhoja (22) Mkazi wa Kijiji cha Bukoli, Kata ya Bukoli mkoani Geita amefariki dunia baada ...TIC yasajili miradi ya trilioni 7 Julai hadi Novemba 2022
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), John Mnali amesema kituo hicho kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya ...Benki Kuu ya Argentina yapendekeza kuweka sura ya Messi kwenye noti ya 1000
Baada ya Lionel Messi kushinda Kombe la Dunia la FIFA huko Qatar, Benki Kuu ya Argentina inafikiria kuweka sura wa mchezaji huyo ...Treni za umeme kuendeshwa kwa umeme wa TANESCO
Treni ya umeme inayotarajiwa kuanza safari zake Januari 2023 kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR) itategemea umeme unaotolewa na Serikali kupitia Shirika ...