Uchumi
Thamani ya uwekezaji nchini yakua kufikia TZS trilioni 19
Takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimeonesha thamani ya uwekezaji uliofanyika nchini katika kipindi cha miaka miwili imeongezeka kwa asilimia 173. ...Kamati ya Bunge yashauri Barabara ya Kimara-Kibaha iwekewe tozo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo ...Nchi 9 za Afrika zilizotembelewa na watalii wengi zaidi mwaka 2022
Afrika ni bara zuri na lenye historia za asili na za kusisimua, ambapo mamilioni ya wageni hutembelea kila mwaka. Bara hili limejaa ...Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza baraza la kumshauri kuhusu kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Kilimo na Kuongeza Uzalishaji wa Chakula. ...Afrika Kusini kununua umeme kutoka Tanzania
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inafikiria kununua umeme kutoka nchini Tanzania ili kusaidia katika kutatua tatizo la nishati ...Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wameeleza azma yao ya kuimarisha uhusiano uliopo wa kisiasa na kiuchumi ...