Uchumi
Elon Musk asubiri kibali cha TCRA kuwekeza nchini
Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya ...Elon Musk awaambia Twitter wafanye kazi kwa saa nyingi au waache kazi
Mfanyabiashara na mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk amewaambia wafanyakazi wa Twitter kuchagua kufanya kazi kwa saa nyingi na kwa hali ...Serikali kufuatilia waliokamatwa na dhahabu India wakitokea Tanzania
Serikali imesema inafuatilia taarifa za kukamatwa kwa wasafiri saba wakiwemo wanne waliotoka Tanzania wakiwa na kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya ...Abiria kutoka Tanzania wakamatwa India na dhahabu ya wizi 53kg
Kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya Rand 320 milioni (TZS bilioni 9.18) zimenaswa katika visa viwili tofauti katika uwanja wa ndege ...Mwigulu: Tanzania bado ipo uchumi wa kati
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha takwimu zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo zilizoonesha ...