Uchumi
Bunge laiagiza Serikali kuharakisha ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Bunge limeitaka Serikali kurahakisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ili kuhakikisha uwepo wa mizigo ya kutosha itakayosafirishwa kupitia reli ya kisasa (SGR) ...Marubani waliogoma Kenya wapewa saa 24 kurejea kazini
Takribani abiria 10,000 wameathiriwa kufuatia mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways (KQ) ulioanza leo Novemba 5, 2022 ...Mkandarasi apiga TZS bilioni 64 mradi wa Bandari ya Tanga
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema mkandarasi mkuu aliyepewa tenda ya kufanya maboresho katika Bandari ya Tanga kwa kiasi cha Shilingi ...Umoja wa Ulaya waipa Tanzania msaada wa bilioni 380
Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 166 (sawa na takribani TZS bilioni 380) kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya utekelezaji ...Tanzania yapata mkopo wa bilioni 310 kutoka Korea
Tanzania imepata mkopo wa gharama nafuu wa TZS bilioni 310 kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya upanuzi wa mfumo ...