Uchumi
Mabehewa 36 ya SGR kuwasili nchini kuanzia Novemba 10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili reli ya kisasa (SGR) ya ...Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi wa Bandari ya Kibirizi, Kigoma
Katika siku yake ya tatu ya ziara ya kikazi mkoani Kigoma, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi la Upanuzi wa ...Benki ya Dunia yaipa Tanzania trilioni 4.9
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 ...Falme za Kiarabu kuipatia Tanzania mkopo wa TZS bilioni 978
Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu umeahidi kutoa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ...Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...