Uchumi
Serikali kufuatilia waliokamatwa na dhahabu India wakitokea Tanzania
Serikali imesema inafuatilia taarifa za kukamatwa kwa wasafiri saba wakiwemo wanne waliotoka Tanzania wakiwa na kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya ...Abiria kutoka Tanzania wakamatwa India na dhahabu ya wizi 53kg
Kilo 61 za dhahabu zenye thamani ya Rand 320 milioni (TZS bilioni 9.18) zimenaswa katika visa viwili tofauti katika uwanja wa ndege ...Mwigulu: Tanzania bado ipo uchumi wa kati
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha takwimu zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo zilizoonesha ...Bunge laiagiza Serikali kuharakisha ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Bunge limeitaka Serikali kurahakisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ili kuhakikisha uwepo wa mizigo ya kutosha itakayosafirishwa kupitia reli ya kisasa (SGR) ...Marubani waliogoma Kenya wapewa saa 24 kurejea kazini
Takribani abiria 10,000 wameathiriwa kufuatia mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways (KQ) ulioanza leo Novemba 5, 2022 ...