Uchumi
Mkandarasi apiga TZS bilioni 64 mradi wa Bandari ya Tanga
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema mkandarasi mkuu aliyepewa tenda ya kufanya maboresho katika Bandari ya Tanga kwa kiasi cha Shilingi ...Umoja wa Ulaya waipa Tanzania msaada wa bilioni 380
Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 166 (sawa na takribani TZS bilioni 380) kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya utekelezaji ...Tanzania yapata mkopo wa bilioni 310 kutoka Korea
Tanzania imepata mkopo wa gharama nafuu wa TZS bilioni 310 kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya upanuzi wa mfumo ...Mabehewa 36 ya SGR kuwasili nchini kuanzia Novemba 10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili reli ya kisasa (SGR) ya ...Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi wa Bandari ya Kibirizi, Kigoma
Katika siku yake ya tatu ya ziara ya kikazi mkoani Kigoma, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi la Upanuzi wa ...