Uchumi
Benki ya Dunia yaipa Tanzania trilioni 4.9
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 ...Falme za Kiarabu kuipatia Tanzania mkopo wa TZS bilioni 978
Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu umeahidi kutoa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ...Majina ya watumishi watano waliosimamishwa kazi wilayani Mbulu
Waziri TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha uchunguzi kwa kuisababishia halmashauri hasara ...Tanzania yaijibu Umoja wa Ulaya suala la bomba la mafuta kutoka Uganda
Serikali imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la ...Makampuni 19 ya Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ...