Uchumi
Tume ya Ulaya yatangaza orodha ya nchi 10 zenye hatari kubwa ya uhalifu wa kifedha
Tume ya Ulaya imetangaza sasisho jipya la orodha ya nchi za tatu (zilizo nje ya Umoja wa Ulaya) zinazochukuliwa kuwa na hatari ...Serikali: Deni la Serikali linahimilika
Serikali imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 107.70 ambapo kati ya kiasi hicho, deni la nje ni shilingi ...Ofisi ya Msajili wa Hazina: Makusanyo ya mapato yasiyo ya kodi yapanda kwa asilimia 40
Ofisi ya Msajili wa Hazina imerekodi ongezeko la asilimia 40 katika makusanyo ya mapato yasiyo ya kodi ndani ya kipindi cha miezi ...Sekta Binafsi yabadilisha sura ya Bandari ya Dar es Salaam
Baada ya Serikali ya Awamu ya Sita kufanya uamuzi wa kuruhusu Sekta Binafsi katika uendelezaji na uendeshaji wa baadhi ya maeneo ya ...Serikali ya Kenya yafunga jengo la Freemason kwa kutolipa kodi
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasons’ Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji ...BoT: Noti ya Shilingi 10,000 inaongoza katika matumizi ya fedha taslimu nchini
Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), noti ya Shilingi 10,000 ndiyo noti inayotumika zaidi nchini Tanzania, ikichangia ...








