Uchumi
Wanne wakamatwa kwa kurusha fedha sakafuni kwenye sherehe
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuharibu noti za benki kwa kuzirusha sakafuni kitendo ambacho ni kinyume ...Tanzania kinara Afrika Mashariki kwa kupiga hatua kubwa kiuchumi na kijamii
Ripoti ya Mapitio ya Hali ya Mwenendo wa Uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2024 iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...Dkt. Mwigulu akanusha taarifa ya Tanzania kufilisika
SWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikieleza kwamba serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa madeni kadhaa yalliyosababisha kusuasua ...Mwigulu: TRA wafukuzeni kazi wanaoomba na kupokea rushwa
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda kuwafukuza kazi watumishi wa ...Rais Mwinyi: Sekta ya sukari ni kipaumbele kwa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa sekta ya sukari ni kipaumbele katika kilimo ...