Uchumi
Rais aelekeza viwanda vilivyokufa Morogoro vifufuliwe
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha Mkoa wa Morogoro unarudi kwenye hadhi ya viwanda kama ilivyokuwa hapo zamani ili kukuza uchumi ...Wanne wakamatwa kwa kurusha fedha sakafuni kwenye sherehe
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuharibu noti za benki kwa kuzirusha sakafuni kitendo ambacho ni kinyume ...Tanzania kinara Afrika Mashariki kwa kupiga hatua kubwa kiuchumi na kijamii
Ripoti ya Mapitio ya Hali ya Mwenendo wa Uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2024 iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...