Uchumi
Rais Samia amuagiza Msajili wa Hazina kufuatilia hesabu za mashirika yote kwenye mfumo
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu kuhakikisha anaweza kuona hesabu za mashirika yote anayoyasimamia ikiwa ni pamoja na ...Rais asisitiza mashirika kuzalisha zaidi ili kuleta mageuzi ya kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi za ndani kufanya kazi kwa bidi na kuzalisha zaidi ili uchumi wa ...Ndege ya mizigo ya ATCL yachangia ongezeko la asilimia 87.78 kwenye usafirishaji
Ndege ya mizigo ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesafirisha jumla ya tani 2,084.7 za mizigo kuanzia Julai, 2023 hadi Machi mwaka ...Ruto asema Gharama za ndege ya kifahari kwenda Marekani zililipwa na marafiki wa Kenya
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ndege ya kifahari aina ya Boeing 737-700 ya shirika la Abu Dhabi aliyotumia kusafiri nayo kwenda ...Mkulima Singida aibuka na Mil. 10/- za NMB Pesa Weka na Ushinde
KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye ...