Uncategorized
Serikali kuimarisha ushirikiano kati ya wawekezaji na wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof.Kitila Mkumbo, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na wawekezaji pamoja na ...Mkaguzi Mkenya akiri kuiba bilioni 1 nchini Marekani
Raia wa Kenya, Tobias Otieno (41) anakabiliwa na kifungo cha kati ya miaka minne hadi 12 jela nchini Marekani, baada ya kukiri ...Rais Samia atoa Bilioni 511 kulipa madeni ya makandarasi
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika kipindi cha siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan wamepokea jumla ya shilingi Bilioni 511 ...Majibu ya Polisi kuhusu madai ya ACT Wazalendo utata wa kifo cha diwani
Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Chama cha ACT Wazalendo kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliyekuwa diwani wa Kata ya Nyamgali, Majaliwa Abbas Hamis, ...Apandishwa kizimbani kwa kosa la kumshambulia mke wake
Hamza Omary (38), fundi selemala na mkazi wa Luchelele amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Mkuyuni, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza ...Asahi Group kununua hisa za Diageo katika EABL
Asahi Group kununua hisa za Diageo katika EABLNairobi, Desemba 17, 2025: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya ...








