Uncategorized
Amuua baba mkwe baada ya kuwaamulia ugomvi
Polisi katika eneo la Mukaa, Kaunti ya Makueni nchini Kenya wameanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kusikitisha ambapo mwanaume wa makamo anadaiwa kumuua ...Serikali yatangaza oparesheni dhidi ya wanaosambaza maudhui ya kumdhalilisha Rais
Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Mkuu wa Jeshi hilo, IGP Camillus Wambura, kuhakikisha linaweka mikakati ...Benki ya Exim Yatangaza Mshindi wa Kampeni ya ‘UEFA Priceless’ Kupitia Exim Mastercard
Benki ya Exim, kwa kushirikiana na mshirika wake wa kimataifa, MasterCard, imekabidhi rasmi zawadi kwa mshindi wa kampeni ya “UEFA Priceless”, Bi. ...Mama amuuza binti yake kwa mganga wa kienyeji
Mahakama nchini Afrika Kusini imemkuta na hatia mama aitwaye Racquel “Kelly” Smith na watu wengine wawili ya kumsafirisha na kumteka nyara binti ...Waziri wa Watoto ajiuzulu kwa kuzaa na mvulana wa miaka 16
Waziri wa Watoto wa Iceland, Ásthildur Lóa Thórsdóttir (58) amejiuzulu baada ya kukiri kuwa alizaa mtoto na mvulana wa miaka 16 akiwa ...Kampeni ya UEFA Priceless: Chanja Kijanja, Shinda na Ufurahie Fainali za UEFA na Mastercard ya ...
Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mastercard, wamezindua rasmi Kampeni ya UEFA Priceless, mpango kabambe unaolenga kuhamasisha matumizi ya Exim Mastercard ...