Uncategorized
Simbachawene: Gari la zimamoto kuwa na maji muda wote sio sawa kitaalamu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kitaalamu gari la kuzimia moto kuwa na maji muda wote sio sahihi ...Wenye vibali wazuiwa kutumia maji ya Mto Ruvu kwa kilimo
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amezuia vibali vya matumizi ya maji kutoka kwenye vyanzo vya maji kwenye Mto Ruvu na ...Rais Samia kufanya ziara ya siku 3 nchini Misri
Rais Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Misri kuanzia kesho Novemba 10, 2021 kufuatia mwaliko ...Hukumu ya Sabaya: Mafunzo matatu kwa wanasiasa vijana
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya baada ...Sabaya ahukumiwa miaka 30 jela
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyia wa kutumia silaha. ...Facebook kutumia TZS trilioni 2 kuwalipa watakaotumia Reels
Facebook inakusudia kuweka mfumo wake wa video fupi (Reels) kwenye ukurasa wa nyumbani (News Feed) wa watumiaji wake ili kuongeza kuonekana na ...