Uncategorized
Shule kuwatoza faini ya TZS 5,000 kwa siku wazazi wa wanafunzi watoro
Shule ya Sekondari Muhalala, wilayani Manyoni mkoani Singida, imeweka utaratibu mpya wa kuwatoza faini ya Shilingi 5,000 kwa siku wazazi au walezi ...Amuua mume wake kwa kumchoma na chupa ya bia wakiwa klabu
Polisi katika Kaunti ya Bomet nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 32 akihusishwa na mauaji ya mume wake baada ya ...Watuhumiwa 210 wa uhaini wafutiwa mashtaka na kuachiwa huru
Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) amewafutia kesi na kuwaachia huru jumla ya washtakiwa 210 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini. Katika nyakati ...Mgombea Ubunge Siha auawa katika ugomvi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi ...Serikali yafafanua Pamba Jiji kufanya mazoezi gizani
Baada ya taarifa kusambaza mitandaoni ikionesha wachezaji wa Pamba Jiji wakifanya mazoezi gizani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Serikali imesema timu hiyo ...Askari wa TANAPA ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ndani ya hifadhi
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Askari wa Hifadhi ya Wanyamapori (TANAPA), Juma Twaha (26) kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua ...








