Uncategorized
Mchengerwa aiagiza kamati kukamilisha Mdundo wa Taifa
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ameipongeza Kamati ya Kutafuta Mdundo wa Taifa kwa hatua iliyofikia na kuitaka kukamilisha kazi ...Tunisia yawafunga jela wanawake tisa kwa ugaidi
Tunisia imewafunga jela wanawake tisa wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge la kigaidi ambao wanatuhumiwa kupanga njama ya kumuua waziri wa serikali ya ...Serikali kuweka utaratibu wa wananchi kukopeshwa smartphones
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali ina mpango wa kutafuta njia ili kumwezesha Mtanzania wa kawaida ...NECTA: Uchunguzi ufanywe wanafunzi kufeli mitihani
Kaimu Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani ya Taifa (NECTA), Athumani Amasi ameshauri uchunguzi ufanyike ili kujua kwanini ufaulu wa kidato ...Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waachiwa kwa dhamana, Waziri Bashe ahoji
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amehoji juu ya kuachiwa kwa dhamana watu waliokamatwa wakivusha mbolea ya ruzuku nje ya nchi wakati wametenda ...Msichana abakwa, alawitiwa na kuuliwa kwenye mkesha wa mwaka mpya
Binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Eliza Mlimbila (17) mkazi wa Mtaa wa Sigridi Kata ya Kivavi Halmashauri ya Mji wa Makambako ...








