Uncategorized
Simba yalalamika ilivyopokelewa na Orlando Pirates
Simba SC ambayo imeondoka nchini Tanzania leo asubuhi kwenda Afrika Kusini imelalamikia mapokezi iliyopewa na wapinzani wao Orlando Pirates. Mbali na kushukuru ...Mgambo wadaiwa kuwakata mapanga wananchi
Madiwani wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya Mgambo wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ...Mkurugenzi asimamishwa kwa kuwaonea muhali wabadhirifu
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Hassani Njama Hassani kwa kushindwa kutekeleza ...Mali za TZS bilioni 5 za mfanyausafi wa Magereza Kenya zashikiliwa
Mahakama Kuu jijini Nairobi, Kenya inashikilia mali zenye thamani ya TZS bilioni 5.2 mali ya mwajiriwa wa Idara ya Magereza nchini humo, ...Taarifa ya Polisi kuhusu mwili wa Padri uliokutwa ndani ya tenki la maji
Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linaendelea kuchunguza kwa kina kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis ...Mpangilio sahihi wa vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania
Jeshi la Polisi nchini Tanzania lina jumla ya ngazi 14 za vyeo, cha juu zaidi kikiwa ni Inspekta Jenerali wa Polisi huku ...







