Uncategorized
Ndala aishitaki ACT-Wazalendo Ofisi ya Msajili kwa kumvua uanachama
Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali ...Polisi: Tunamshikilia Mwenyekiti wa BAVICHA
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (CHADEMA), Gasper Temba, hajatekwa isipokuwa amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za ...Polisi: Tunafanya uchunguzi taarifa mpya kupotea kwa aliyekuwa mgombea udiwani CCM
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limethibitisha kuanza uchunguzi kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikihusishwa na kupotea kwa mgombea ...Afariki kwa kuchanwa na viwembe ‘guest’ kisa wivu wa mapenzi
Mkazi wa Kata ya Masekelo, Pendo Samson Methusela (37), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa ...Rais Samia atunukiwa tuzo maalum na wakandarasi nchini
Rais Samia Suluhu amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie ...Ahukumiwa jela maisha kwa kumbaka mtoto mwenye matatizo ya akili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemuhukumu Hamisi Rashid Mohamed (55) mkazi wa kijiji cha Mihima Kata ya Namupa Halmashauri ya ...








