Uncategorized
Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania Wakabidhi Msaada wa Vifaa vya Wanafunzi Bariadi
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau ( wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya ...Odinga alaani kauli ya Ruto ya kuwaruhusu askari kuwapiga risasi raia
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amelaani vikali agizo lililotolewa hivi karibuni na Rais William Ruto la kuwaruhusu maafisa wa polisi ...ACT yalalamikia Polisi kudai majina ya wagombea, Polisi wakanusha
Chama cha ACT Wazalendo kimelalamikia kile kilichoelezwa kuwa ni hatua ya Jeshi la Polisi na baadhi ya Wakuu wa Wilaya kuanza kuwasiliana ...Tanzania yapokea msaada wa TZS bilioni 78.6 kutoka Ujerumani
Tanzania na Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) zimesaini mikataba mitatu ya misaada yenye thamani ya Euro milioni 25.68 [sawa ...Maandamano Sabasaba: Mtoto apigwa risasi na kuuawa wakati akitazama televisheni
Maombolezo yametanda katika kijiji cha Ndumberi, Kaunti ya Kiambu nchini Kenya baada ya msichana wa miaka 12, Bridgit Njoki kupoteza maisha kwa ...Ruto: Nitajenga kanisa Ikulu kwa pesa zangu mwenyewe
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ujenzi wa kanisa katika Ikulu ya Nairobi hautagharimu pesa za walipa kodi isipokuwa pesa zake mwenyewe. ...








