Uncategorized
Rais Samia aahidi kushirikiana na taasisi za kidini kwenye sekta ya kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaangalia namna ya kushirikiana na kufanya kazi na taasisi za kidini kwenye sekta ya kilimo ili ...Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja ...Tanzania, Hungary kukuza ushirikiano kwenye elimu na uwekezaji
Tanzania imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi kutoka nchini Hungary kusoma kwenye vyuo vikuu vya Tanzania ambapo kwa kuanzia ufadhili huo utaanza ...Mfahamu Rais mdogo mwanamke anayetarajiwa kufanya ziara Tanzania
Rais wa Hungary, Katalin Novák anatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu, Julai 17 hadi 20, 2023 kwa ajili ya ziara ya kiserikali ya siku ...FIFA yazifungia Fountain Gate na Kitayosce kusajili
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limezifungia klabu za Kitayosce iliyoko ligi kuu ya NBC na Fountain Gate inayocheza ligi ...Geita: Auawa na wasiojulikana kisha kukatwa kiganja
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Milembe Seleman (43) mkazi wa mtaa wa Mseto ameuawa na watu wasiojulikana katika mtaa wa Mwatulole, ...