✕
Habari
Siasa
Biashara
Afya
Elimu
Maisha
Burudani
Rubik
- © Copyright
BKNinja
. All Rights Reserved.
24/7 Habari Bila Mipaka
Saturday, January 18
Habari
Siasa
Biashara
Afya
Elimu
Maisha
Burudani
Habari
Siasa
Biashara
Afya
Elimu
Maisha
Burudani
Home
›
Biashara
›
CEOrt waandaa kongamano la fursa ya kukuza uchumi wa nchi kati serikali na sekta binafsi
Biashara
Habari
CEOrt waandaa kongamano la fursa ya kukuza uchumi wa nchi kati serikali na sekta binafsi
swahilitimes
July 15, 2021
0
40
Mwenyekiti wa CEOrt, Sanjay Rughani akizungumza kwenye mkutano wa wajumbe wa CEOrt ambao ni maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi uliofanyika jijini Dar es Salaam ukiwa na lengo la kuona jinsi gani sekta binafsi zitashirikiana na mipango ya serikali ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi kwenye mkutano wao wakiwa wajumbe wa CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt). Mkutano huu uliofanyika jijini Dar es Salaam ulilenga kuona jinsi gani sekta binafsi zinaweza kushirikiana na serikali katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa. Kulia ni Mwenyekiti wa CEOrt, Sanjay Rughani.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la wajumbe wa CEOrt ambao ni maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi na kujadili ni jinsi gani sekta binafsi zitashirikiana na mipango ya serikali ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa.
Facebook
Twitter
WhatsApp
Telegram
Email
Previous Article
Tisa wanaopima COVID19 uwanja wa ndege wasimamishwa kazi
Next Article
Elementor #19543
Related articles
More from author
More from category
Serikali: Wastaafu kuweni makini na ujumbe wa kitapeli uliozuka hivi karibuni
January 17, 2025
Amchoma mkewe kisu nyumbani kwao baada ya kumkimbia na watoto
January 16, 2025
Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
January 15, 2025
Prev
Next
More News
RUWASA kuanza kufunga mita za malipo ya kabla kwenye mikoa 25
July 6, 2022
Mwigizaji Idris Elba kufungua studio ya filamu nchini
January 30, 2023
Mtangazaji wa Clouds TV ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Singida
July 6, 2020
Yaliyojiri
Serikali: Wastaafu kuweni makini na ujumbe wa kitapeli uliozuka hivi karibuni
January 17, 2025
Amchoma mkewe kisu nyumbani kwao baada ya kumkimbia na watoto
January 16, 2025
Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
January 15, 2025
Burkina Faso yapiga marufuku majaji kuvaa mawigi ya kikoloni mahakamani
January 15, 2025
Send this to a friend
Send
Cancel