Corona: Madereva wa malori wa Tanzania wanavyobaguliwa mipakani

0
16

Madereva wanaosafirisha mizigo kwenda na kutoka katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wamelalamika namna wanavyotengwa na kubaguliwa na raia wengine kwa hofu ya kwamba huenda wakawaambukiza virusi vya corona.

Hatua hiyo imejiri kutokana na madereva wengi kuripotiwa kuwa na maambukizi ya virusi hivyo.

Tazama hapa chini dereva akielezea hali wanayokumbana nayo katika kazi zao;

Send this to a friend