Dawa bandia za nguvu za kiume zakamatwa Geita

0
58

Mamalaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata dawa bandia za kuongeza nguvu za kiume zinazotumiwa na vijana kwa lengo la kuongeza nguvu za kiume wakati wa kujamiiana.

Dart kuongeza mabasi mengine 117

Meneja wa TMDA Kanda ya Ziwa Magharibi, Dkt. Edgar Mahundi amesema dawa hizo zilikuwa zinauzwa katika maduka ya madawa kinyume na sheria.

Dawa hizo zizazotambulika kwa jina la Vega 100 zimekuwa zikitumiwa kiholela na kwa wingi na vijana, hivyo amewataka kuachana na matumizi yake kwani zina athari kubwa kiafya na hazifai kwa matumizi ya binadamu.

Send this to a friend