Dkt. Abbasi: Chanjo za Corona zikithibitika, Tanzania itazitumia

0
42

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa Tanzania haijadharau chanjo ya corona lakini pia haiwezi kuwa sehemu ya majaribio ya chanjo hizo.

Katika mahojiano maalum na bbcswahili ameeleza kuwa endapo chanjo hizo zitathibitika pasi na shaka kuweza kudhibiti maambukizi ya Corona, Tanzania itakuwa tayari kuzitumia.

Fuatilia mahojiano kabili hapa chini:

Send this to a friend