Duka Kubwa la Ubashiri Lazinduliwa Posta na Meridianbet

0
64

Mzigo juu ya mzigo yani unaambiwa hivi maduka juu ya maduka yanaendelea kuzinduliwa na kampuni kubwa ya kubetia nchini Tanzania ambayo ina ODDS KUBWA kwenye michezo yote sio Mpira wa miguu, mpira wa wavu, tenisi kikapu na mingine mingi.

Mtaa wa Jamhuri Posta ni moja kati ya sehemu ambayo duka hilo limezinduliwa na litakuwa na huduma bora kabisa huku kukiwa na mashine 40 za sloti ambazo zimesambazwa kwenye maduka takribani yote ambazo ni aina ya IMPERA, IGT.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubeti wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Martina Nkurlu ambaye ni mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano  ndani ya Meridianbet amesema kuwa wanataka kuendelea kuwavuta watu wengi zaidi hapa Tanzania kutumia Meridianbet kwenye shughuli zao za ubashiri kwani wao ni bora kwenye kila idara kuanzia kwenye ODDS KUBWA mpaka machaguo zaidi ya 1000.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Wakazi wa Jamhuri Posta wamefurahi sana kwa ujio wa duka hilo jipya la kubeti ambalo limezinduliwa hii leo na Meridianbet  kwani litawasaidia kwenye shughuli zao za kubetia kila siku kabla ligi hazijamalizika na mashine hizo zitawafaa kipindi chote mpaka ligi itakapoanza.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Send this to a friend