Fahamu aina ya miwani inayokufaa zaidi kulingana na uso wako

0
81

Linapokuja suala la kununua miwani, kuamua saizi ya uso wako na umbo ni muhimu kwa sababu itakusaidia kupata miwani ya jua inayofaa zaidi kulingana na aina ya uso wako.

Miwani ya jua inayofaa inaweza kukupa mwonekano maridadi. Ili kupata miwani bora zaidi ya uso wako, utahitaji kupima uso wako, kuamua umbo la uso wako, na kulinganisha umbo hilo na mtindo wa miwani ya jua.

Fuatilia video hii fupi kufahamu aina ya nyuso pamoja na miwani inayoendana na uso wako;

Send this to a friend