Wengi hudhani kuwa, kitendo cha kunyunyizia manukato ni hatua ya mwisho na isiyozingatiwa sana. Wengine hunyunyizia manukato sehemu yoyote ya mwili bila kufuata utaratibu ilihali tu wanukie.
Kuna umuhimu wa kuzingatia linapokuja suala la kujipulizia manukato kwa mwanaume na mwanamke na sehemu sahihi katika mwili wako, pamoja na mahali unapoihifadhi.